About Us

About Us

SANGA KARIAKOO NI TUNAFANYA BISHARA KWA NJIA YA MTANDANO KUPITIA APP PAMOJA NA TOVUTI NA BIASHARA YETU IMESAJILIWA BRELA NA TRA KWA JINA LA SANGA KARIAKOOO GROUP NA TUNALIPA KODI DUKA LIPO KARIAKOO MTAA WA AGGREY NA NDANDA AMBAPO MTEJA ATAKUJA KUCHUKULIA MZIGO ENDAPO ATAITAJI KUFIKA ILA PIA MIZIGO INATUMWA POPOTE PALE TANZANIA KWA USALAMA NA UHAKIKA